Home 2021 November 08 1 Timotheo 2:3-7

1 Timotheo 2:3-7

1 Timotheo 2:3-7

2.3  Hili ni zuri, nalo lakubalika mbele za Mungu Mwokozi wetu;

2.4  ambaye hutaka watu wote waokolewe, na kupata kujua yaliyo kweli.

2.5  Kwa sababu Mungu ni mmoja, na mpatanishi kati ya Mungu na wanadamu ni mmoja, Mwanadamu Kristo Yesu;

2.6  ambaye alijitoa mwenyewe kuwa ukombozi kwa ajili ya wote, utakaoshuhudiwa kwa majira yake.

2.7  Nami kwa ajili ya huo naliwekwa niwe mhubiri na mtume, (nasema kweli, sisemi uongo), mwalimu wa Mataifa katika imani na kweli.

Author: Festus Patta

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *