Kuwaangazia watu wote wajue habari za madaraka ya SIRI hiyo, ambayo tangu zamani zote ilisitirika katika Mungu aliyeviumba vitu vyote
Read moreKuwaangazia watu wote wajue habari za madaraka ya ile SIRI, ambayo tangu zamani zote ilisitirika katika Mungu aliyeviumba vitu vyote
Read moreWagonjwa wenye magonjwa mbali mbali hutembelewa, kufarijiwa na kuombeawa.
Wajane walofiwa na waume zao hutembelewa, kufarijiwa na kutiwa moyo
Ibada hii hufanyika kila Jumapili, kuanzia saa 3 Asubuhi mpaka saa 7 Mchana. Katika ya wiki, tunakuwa na vipindi mbalimbali vya mafundisho na maombia kuanzia saa 10:30 mpaka saa 12 Jioni. NYOTE MNAKARIBISHWA SANA!
“Nafsi yangu inamwonea kiu MUNGU, Mungu aliye hai, Lini nitakapokuja nionekane mbele za Mungu?” (Zaburi
“Lakini watu wabaya na wadanganyaji wataendelea, na kuzidi kuwa waovu, wakidanganya na kudanganyika. BALI
“Macho ya Bwana hukimbia-kimbia duniani mwote, ili ajionyeshe mwenye nguvu kwa ajili ya hao, waliokamilika
Comments are disabled.