MAHUBIRI YETU
25Dec

Kuanguka kwa Taifa la Israeli (1)

Kuwaangazia watu wote wajue habari za madaraka ya ile SIRI, ambayo tangu zamani zote ilisitirika katika Mungu aliyeviumba vitu vyote

Read more
25Dec

Kuanguka kwa Taifa la Israeli (2)

Kuwaangazia watu wote wajue habari za madaraka ya ile SIRI, ambayo tangu zamani zote ilisitirika katika Mungu aliyeviumba vitu vyote

Read more

HUDUMA ZETU
Kutembelea Wagonjwa


Wagonjwa wenye magonjwa mbali mbali hutembelewa, kufarijiwa na kuombeawa.

Kutembelea Wajane

Wajane walofiwa na waume zao hutembelewa, kufarijiwa na kutiwa moyo

Ibada Jumapili Kanisani

Ibada hii hufanyika kila Jumapili, kuanzia saa 3 Asubuhi mpaka saa 7 Mchana. Katika ya wiki, tunakuwa na vipindi mbalimbali vya mafundisho na maombia kuanzia saa 10:30 mpaka saa 12 Jioni. NYOTE MNAKARIBISHWA SANA!

Matamasha na Makongamano
Matamasha na Makongamano mbalimbali yanafanywa kama njia mojawapo ya kuwakutanisha watu pamoja katika kuendela kumtukuza Bwana wetu.
Mkesha na Maombezi
Kila Ijumaa usiku, kuanzia saa 3, tunakuwa na mikesha mbalimbali ya maombezi kwa vikundi mbalimbali, kama vile wachungaji na wazee; kina baba; kina mama; vijana; kwaya, n.k. kwa kadiri uongozi wa Kanisa unavyoona inafaa kwa mwongozo wa Roho Mtakatifu.
Semina za Vijana
Semina hizi zinalenga kuwaleta vijana pamoja, hasa katika kumtumia Bwana, ili waweze kuutumia ujana wao vizuri na waweze kumzalia Bwana matunda yaliyo mema katika ujana wao.

MATUKIO YAJAYO

Tafadhali jiunge nasi katika kumhubiri KRISTO peke yake BILA NYONGEZA!

MAFUNDISHO MAPYA
PICHA KWA UFUPI

Comments are disabled.