Maandiko Yanayodaiwa YAMEPOTEA!
CHUO cha Vita vya BWANA (Hesabu 21:14)
KITABU cha YASHARI (Yoshua 10:13; 2 Samweli 1:18)
TAREHE ya NATHANI (1 Mambo ya Nyakati 29:29)
TAREHE ya GADI (1 Mambo ya Nyakati 29:29)
TAREHE ya AHIYA (2 Mambo ya Nyakati 9:29)
TAREHE ya SHEMAYA (2 Mambo ya Nyakati 12:15)
KITABU cha Maelezo cha Nabii IDO (2 Mambo ya Nyakati 13:22)
KITABU cha Mambo ya SULEMANI (1 Wafalme 11:41)
WARAKA wa LAODIKIA (Wakolosai 4:16)
WARAKA kwa WAKORINTHO (1 Wakorintho 5:9)
Leave a Reply