Home 2021 November 08 Warumi 11:11-14

Warumi 11:11-14

Warumi 11:11-14

11.11  Basi nasema, Je! Wamejikwaa hata waanguke kabisa? Hasha! Lakini kwa kosa lao wokovu umewafikilia Mataifa, ili wao wenyewe watiwe wivu.

11.12  Basi, ikiwa kosa lao limekuwa utajiri wa ulimwengu, na upungufu wao umekuwa utajiri wa Mataifa, je! Si zaidi sana utimilifu wao?

11.13  Lakini nasema na ninyi, mlio watu wa Mataifa. Basi, kwa kadiri nilivyo mtume wa watu wa Mataifa, naitukuza huduma iliyo yangu,

11.14  nipate kuwatia wivu walio damu moja na mimi na kuwaokoa baadhi yao.

Author: Festus Patta

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *