Home 2021 November 08 2 Timotheo 1:8-11

2 Timotheo 1:8-11

2 Timotheo 1:8-11

1.8  Basi usiuonee haya ushuhuda wa Bwana wetu, wala usinionee haya mimi mfungwa wake, bali uvumilie mabaya pamoja nami kwa ajili ya Injili, kwa kadiri ya nguvu ya Mungu;

1.9  ambaye alituokoa akatuita kwa mwito mtakatifu, si kwa kadiri ya matendo yetu sisi, bali kwa kadiri ya makusudi yake yeye na neema yake. Neema hiyo tulipewa katika Kristo Yesu tangu milele,

1.10  na sasa inadhihirishwa kwa kufunuliwa kwake Mwokozi wetu Kristo Yesu; aliyebatili mauti, na kuufunua uzima na kutokuharibika, kwa ile Injili;

1.11  ambayo kwa ajili ya hiyo naliwekwa niwe mhubiri na mtume na mwalimu (wa Mataifa).

Author: Festus Patta

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *