Home 2021 June 30 Nini Hakikuwa Pentekoste?

Nini Hakikuwa Pentekoste?

Nini Hakikuwa Pentekoste?

Watu wengi katika Ukristo wanaamini umuhimu wa siku ya Pentekoste ulikuwa ni kuzaliwa kwa Kanisa, yaani siku ya ujio wa Mwili wa Kristo (Matendo ya Mitume 2). Hoja ya msingi inayotolewa ikiwa ni kwamba, kwa kuwa Kanisa linajumuisha waumini ambao wamejazwa na Roho Mtakatifu na hilo lilitokea siku ya Pentekoste, Kanisa kwa hiyo lilianza siku ya Pentekoste! Kwa kiasi kikubwa hata hivyo, hoja hiyo inaonekana kuwa na sifa; Lakini baada ya kufanya uchunguzi wa kina, hoja hiyo inakosa nguvu. Ushahidi wa Kibiblia unakataza tafsiri hiyo!

Je, kama siku ya Pentekoste haikuwa mwanzo wa Kanisa, kumbe Pentekoste ilikuwa ni nini? Ili uweze kutambua ni nini hasa kilitokea siku ya Pentekoste, ufahamu umuhimu wa siku hiyo na hivyo kukuondolea mkanganyiko unaoizunguka siku hiyo; tafuta kitabu chetu kiitwacho PAULO NA SIO PETRO NDIYE MTUME WAKO uweze kuupta ufafanuzi huo kwa undani.

Kwa Utukufu Wake Kristo

Author: Festus Patta

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *