Home 2021 June 30 Matendo ya Mitume 2:1-4

Matendo ya Mitume 2:1-4

Matendo ya Mitume 2:1-4

“Hata ilipotimia siku ya Pentekoste walikuwako wote mahali pamoja. Kukaja ghafula toka mbinguni uvumi kama uvumi wa upepo wa nguvu ukienda kasi, ukaijaza nyumba yote waliyokuwa wameketi. Kukawatokea ndimi zilizogawanyikana, kama ndimi za moto uliowakalia kila mmoja wao. Wote wakajazwa Roho Mtakatifu, wakaanza kusema kwa lugha nyingine, kama Roho alivyowajalia kutamka”

Author: Festus Patta

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *