Home 2020 February 11 Kazi ya Roho Mtakatifu Wakati wa Sasa

Kazi ya Roho Mtakatifu Wakati wa Sasa

Kazi ya Roho Mtakatifu Wakati wa Sasa

Je, umewahi kukutana na maneno haya ya Yesu Kristo, juu ya kazi ambayo Roho Mtakatifu atakuja kuifanya baada ya Yeye kuondoka? Yesu anatutangazia kuwa kazi ya Roho Mtakatifu itakuwa ni moja tu, nayo ni kumshudia yeye Yesu na sio vinginevyo? Wewe Unayaonaje maneno haya ya Yesu? Tupe maoni yako!

“Hata bado nikali ninayo mengi ya kuwaambia, lakini hamwezi kuyastahimili hivi sasa. Lakini yeye atakapokuja, huyo Roho wa kweli, atawaongoza awatie kwenye kweli yote; kwa maana hatanena kwa shauri lake mwenyewe, lakini yote atakayoyasikia atayanena, na mambo yajayo atawapasha habari yake. Yeye atanitukuza mimi, kwa kuwa atatwaa katika yaliyo yangu na kuwapasha habari” (Yohana 16:12-14)

Author: Festus Patta

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *