Home 2020 February 11 Je, Manabii Walivuka Mpaka huu?

Je, Manabii Walivuka Mpaka huu?

Je, Manabii Walivuka Mpaka huu?

“Kwa maana manabii wote na torati walitabiri mpaka wakati wa Yohana” (Mathayo 11:13)

“Torati na manabii vilikuwapo mpaka Yohana; tangu wakati huo habari njema ya ufalme wa Mungu hutangazwa, na kila mtu hujiingiza kwa nguvu” (Luka 16:16)

“Kisha akawaambia, Hayo ndiyo maneno yangu niliyowaambia nilipokuwa nikali pamoja nanyi, ya kwamba ni lazima yatimizwe yote niliyoandikiwa katika Torati ya Musa, na katika Manabii na Zaburi” (Luka 24:44)

Tupe Maoni yako…!

Author: Festus Patta

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *