Home 2022 August 30 Kwanini Zaka Haihitajiki?

Kwanini Zaka Haihitajiki?

Kwanini Zaka Haihitajiki?

1. Roho Mtakatifu ndiye mwalimu wetu mpya, na sio Sheria ya Musa: (Wagalatia 5:18,25; Warumi 12:8)

2. Hakuna AMRI kwa Kanisa Mwili wa Kristo kutoa zaka: (Mwanzo mpaka Ufunuo)

3. Kutoa 10% sio kanuni ya milele wala sio tabia ya Mungu: (Warumi 8:32)

4. Kanisa halijaagizwa kufuata maagizo ya Ibrahimu na Musa: (Yohana 7:21-24)

5. Zaka sio kiwango cha chini kilichotajwa katika maandiko: (Mathayo 25:24-28)

6. Tuna amri mpya katika utoaji: (1 Wakorintho 16:2; 2 Wakorintho 9:7; Wagalatia 5:18,25)

7. Jukumu la wala Zaka (kubeba uovu wa watoa zaka) limetimizwa KIKAMILIFU katika MWILI wa Yesu Kristo pale Kalvari: (Hesabu 18:20-24; Warumi 8:3-4; 1 Petro 2:24)

Utukufu una Yeye KRISTO, Milele na Milele; AMINA.

Author: Festus Patta

2 Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *