Home 2020 March 02 Neno “Uinjilisti”

Neno “Uinjilisti”

Neno “Uinjilisti”

Neno uinjilisti linatokana na maneno ya Kiyunani euangelion, ambalo linamaanisha “habari njema,” na euangelizomai, ambalo lina maana “kutangaza kama habari njema.” Habari njema hii ni “ya kuwa Kristo alikufa kwa ajili ya dhambi zetu, kama yanenavyo Maandiko; na ya kuwa alizikwa; na ya kuwa alifufuka siku ya tatu, kama yanenavyo Maandiko; na ya kuwa alimtokea Petro; tena na wale Thenashara” (1 Wakorinto 15:3-5). Habari njema hii, ambayo ni injili ya Kristo, na kuhubiriwa kwake ndio msingi wa uinjilisti.

Author: Festus Patta

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *