Home 2020 February 06 Paulo Anampinga Yesu?

Paulo Anampinga Yesu?

Paulo Anampinga Yesu?

Je, umewahi kukutana na mistari hii ya Biblia na ikakufikirisha? Je, unadhani Anachosema na kumaanisha Yesu kuhusu kufa katika dhambi, ndicho anachosema na kumaanisha Mtume Paulo? Iruhusu Biblia ijitetee yenyenyewe!

Yohana 8:24

“Kwa hiyo naliwaambieni ya kwamba mtakufa katika dhambi zenu; kwa sababu msiposadiki ya kuwa mimi ndiye, mtakufa katika dhambi zenu”

DHIDI YA

1 Wakorinto 15:17

“Na kama Kristo hakufufuka, imani yenu ni bure; mngalimo katika dhambi zenu

Author: Festus Patta

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *