Kuwaangazia watu wote wajue habari za madaraka ya ile SIRI, ambayo tangu zamani zote ilisitirika katika Mungu aliyeviumba vitu vyote
Read moreKuwaangazia watu wote wajue habari za madaraka ya ile SIRI, ambayo tangu zamani zote ilisitirika katika Mungu aliyeviumba vitu vyote
Read moreWagonjwa wenye magonjwa mbali mbali hutembelewa, kufarijiwa na kuombeawa.
Wajane walofiwa na waume zao hutembelewa, kufarijiwa na kutiwa moyo
Ibada hii hufanyika kila Jumapili, kuanzia saa 3 Asubuhi mpaka saa 7 Mchana. Katika ya wiki, tunakuwa na vipindi mbalimbali vya mafundisho na maombia kuanzia saa 10:30 mpaka saa 12 Jioni. NYOTE MNAKARIBISHWA SANA!
Agano Jipya lina uwajibikaji mkubwa wa kifedha kuliko zaka, lakini umejengeka katika dhana tofauti kabisa.
Katika barua yake kwa mwanawe wa kiroho, Timotheo, Mtume Paulo aliandika maneno yaliyonukuliwa hapa chini,
“Maana ikiwa wale wa sheria ndio warithi, imani imekuwa bure, na ahadi imebatilika. Kwa sababu sheria ndiyo