Kuwaangazia watu wote wajue habari za madaraka ya ile SIRI, ambayo tangu zamani zote ilisitirika katika Mungu aliyeviumba vitu vyote
Read moreKuwaangazia watu wote wajue habari za madaraka ya ile SIRI, ambayo tangu zamani zote ilisitirika katika Mungu aliyeviumba vitu vyote
Read moreWagonjwa wenye magonjwa mbali mbali hutembelewa, kufarijiwa na kuombeawa.
Wajane walofiwa na waume zao hutembelewa, kufarijiwa na kutiwa moyo
Ibada hii hufanyika kila Jumapili, kuanzia saa 3 Asubuhi mpaka saa 7 Mchana. Katika ya wiki, tunakuwa na vipindi mbalimbali vya mafundisho na maombia kuanzia saa 10:30 mpaka saa 12 Jioni. NYOTE MNAKARIBISHWA SANA!
“Maana ikiwa wale wa sheria ndio warithi, imani imekuwa bure, na ahadi imebatilika. Kwa sababu sheria ndiyo
“Ni haki ya Mungu iliyo kwa njia ya imani katika Yesu Kristo kwa wote waaminio …” (Warumi 3:22, SUV)
“Lakini mtu wa rohoni huyatambua [huyabaini] yote, wala yeye hatambuliwi na mtu” (1 Wakorintho 2:15). Mtu