Home Kanisa Letu

Kanisa Letu

Kwanini The Grace Walk Ministry?
Kwanini The Grace Walk Ministry?

Kuna makanisa mengi katika maeneo yetu ambayo yanafikika kirahisi, tena kwa kutembea tu kwa miguu.

Lakini, ni kwa nini tuko?

Sio kwa sababu tuna shauku zaidi kuhusu Mungu kuliko wenginw, au tuna mipango bora kuwashinda wote, au tumepokea ufunuo maalum kutoka kwa Mungu na wala hatudai kuwa sisi ni jiwe la pembeni juu ya kweli ya Mungu.

Tuko kwa sababu hatukuweza kupata kundi lingine lolote ambalo:

Linafundisha kwamba maelekezo kwa Kanisa yanapatikana katika maandiko ya Paulo pekee

Linaacha mila tupu (mapokeo) kwa ajili ya mamlaka ya Kibiblia

Linalenga mafundisho yenye uzima na kujifunza Biblia bila ya kutoka kwenye muktadha wake na badala yake kuleta mazingaombwe, maigizo, viini macho au burudani…

Kama unatafuta mahali ambapo maswali yanakubaliwa, kufikiri kuruhusiwa, majibu yenye uaminifu yanatafutwa, na mihemuko ya Ukristo wa kisasa inaepukwa, basi unaweza kufurahia kwa kujumuika pamoja na wana-Mtembeo wa Neema!.

Ni Nini Kinachotofautisha?

Sisi hatufundishi kutoa Fungu la Kumi

Sisi tunambea katika uhuru na sio katika sheria au ufisadi

Sisi tunatafuta majibu sahihi ya Kibiblia sio kufuata desturi tupu

Sisi hatutoi nafasi kwa mafundisho ya mashetani na shuhudu zinazoyainua

Sisi tunapinga mafundisho ya uwongo yasiyokuwa na misingi ya Kibiblia

Tunatambua hali ya kupasuka na kuchanganyikiwa kwa Ukristo wa kisasa na tufikiria majibu yanapatikana katika ujumbe sahihi kutoka katika kitabu kilicho sahihi kilichowasilisha katika njia sahihi kwa uaminifu.


TUKIO LINALOFUATA

    There are no upcoming events at this time.


+
Twitter Followers
+
Facebook Likes
$
Total Donation
+
People Helped

RATIBA YA IBADA
Ibada ya Jumapili
Saa 3 asubuhi – Saa 8 Mchana

  • Sunday School
  • Kuimba na Kuabudu
  • Ibada
Ibada ya Jumanne
Saa 10:30 – Saa 12 Jioni

  • Mafundisho ya Biblia
Jumatano
Saa 10:30 – Saa 12 Jioni

  • Maombi ya watu wote kwa ajili ya kukulia wokovu
Alhamisi Saa
4 asubuhi – Saa 8 Mchana

  • Ushauri na Maombezi ya mtu mmoja mmoja 
  • Mazoezi ya sifa na kuabudu
Ijumaa: Saa
3 usiku – Saa 12 Asubuh

  • Mkesha
SHUHUDA

Nimetafuta kazi kwa miaka Mingi, nashukuru baada ya mchungaji kuniombea nipepata kazi-Amin.

Sanga Seta
Manager

Nimetafuta kazi kwa miaka Mingi, nashukuru baada ya mchungaji kuniombea nipepata kazi-Amin.

Lisa White
Choreographer

Nimetafuta kazi kwa miaka Mingi, nashukuru baada ya mchungaji kuniombea nipepata kazi-Amin.

Jaquline Emmanuel
Fashion Designer
VIDEO MPYA

VIONGOZI WA KANISA
Festus PattaAskofu
Hutuongoza katika ibada na kweli kumfuata Yesu wetu.
Linda MsakyMchungaji Kiongozi
Hutuongoza katika ibada na kweli kumfuata Yesu wetu.
Silivester GabrielMchungaji wa vijana
Hutuongoza katika ibada na kweli kumfuata Yesu wetu.
Beatrice FlorenceMchungaji Msaidizi
Hutuongoza katika ibada na kweli kumfuata Yesu wetu.

Comments are disabled.